Natafuta Kazi ya Kuuza Duka au Supermarket

Jul 28, 2019
21
22
Mimi ni kijana wa kiume ninamiaka 20 Nimemaliza form six kama kuna mtu au kampuni linahitaji kijana wa kuuza Duka au Supermarket hata kazi yoyote halali mie nipo tayari napatikana Tabora mjini kwa mawasiliano zaidi piga au tuma SMS kwa hii namba 0765576786 Nawatakia siku njema wapendwa!
 
Tafuta link ya group la jobseakers telegram unaweza pataa mkuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom