Natafuta kazi ya kutengeneza cm na programu kwenye pc

Apr 22, 2016
67
12
Nina uzoefu tangu 2004 mpaka leo nafanya hii kazi na ninaujuzi wa kutumia cm na computer kwa umahiri naweza kufundisha computer n. K
 
Abreviation
cm-centimeter
Unauzoefu ktk kizio cha urefu kivip ndugu yangu.. Ebu nifafanulie
 
Nina uzoefu tangu 2004 mpaka leo nafanya hii kazi na ninaujuzi wa kutumia cm na computer kwa umahiri naweza kufundisha computer n. K
Ujuzi wa kutumia cm na computer ndo utafutie kazi mkuu? Hebu fafanua una ujuzi gani? Kutumia simu na computer ni terms ambazo ni too general and shallow. Inawezekana watu wakakuhitaji lakini tangazo lako likawapa watu mashaka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom