natafuta kazi ya kujitolea ya ufundi umeme

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
546
1,000
Habari zenu wakuu,
Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki ,maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi dar es salaam
Naombeni kazi ya kujitolea tu bila malipo yoyote nitafanya kazi bure, sihitaji posho ya aina yeyote kama usafiri Na chakula nitajitegemea ,
Nimekaa mtaani Kwa muda sasa nahitaji kuendeleza ujuzi wangunikikaa sana mtaani bila kazi nitasahau vitu vingi nilivyojifunza, kama maswala ya p.l.c ,na mambo mengi ya automation. Elimu nina level three ya electrical and automation
 
alongakeke

Member
Feb 3, 2017
99
225

0712046672 nipo dar es salaam ilala
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Huduma ya kutafutiwa kazi/internship volunteering position ni Tsh 10 000 tu. 0769 524 022
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom