Natafuta kazi ya kujitolea (web development, android application development and infographic designing)

Habarini za saiz wana jamii.

Mimi ni kijana mtanzania naishi mwanza nina ujuzi wa kutengeneza website na android application pia nina ujuzi wa kudesign kwa kutumia photoshop(kawaida),

Wasiliana nasi kupitia excellenttrainingcentre20@gmail.com

Natafuta kampuni au organization yoyote nifanye kwa kujitolea ili ni iongeze skills kwenye kipaji changu hiki.

Najua kuna makampuni au taasisi hapa kwetu wana organization nzuri na wako mbali na wanafanya hizi kazi.
 
Back
Top Bottom