baada ya kuapply sana job na kuzikosa mtoto wa mkulima jameni naomba msaada wa kuvolunteer katika clearing & FORWARDIN COMPANY au popote tuu , nina degree ya public realtions call me on 0767328063 , tafathali nisaidieni.
Kaka soma post graduate education, ndio ajira iliyo back
Mtoto wa mkulima ni bora ukomae na kilimo utatoka tu..
mie mtoto wa kijijini nina elimu ya fm 4 utakubali nikuajiri katika kampuni yangu?
Public relations..... Na unataka KAZI.... Ya clearing and forwarding? Vijana Wang wa Leo vp tena?..... Hukuelimika
Kaka soma post graduate education, ndio ajira iliyo back
baada ya kuapply sana job na kuzikosa mtoto wa mkulima jameni naomba msaada wa kuvolunteer katika clearing & FORWARDIN COMPANY au popote tuu , nina degree ya public realtions call me on 0767328063 , tafathali nisaidieni.
Haya bhana, mvua yenyewe mwaka WA Tatu huu, mazao yanaishia katikati, na mtaji ushakata
Siwezi fanya post graduate, coz kwa sasa elimu haina uhakika wa Kazi Bali experience inaweza kusaidia
Mh! experience? Mi nakwambia dawa na Ku revenge shule tu, angalia hali ya interview utumishi 1 : 199
Watu wana masters na wako kitaa, it's all about who you know, not what u know... That how Tanzania is,
Wangapi wameajiriwa na wana elimu za kuunga unga tuu, wenye brain zao wanaambiwa wa jiajiri
Nowadays in Tanzania it doesn't matter what you know but whom you know hata uwe na master's usipokua na connection lazima upate shida best solution ni Ku tafta alternative nyingine