Natafuta kazi ya kufundisha somo la biology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kufundisha somo la biology

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kikule, Feb 26, 2011.

 1. k

  kikule Senior Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni mwalimu mzoefu katika tasnia ya elimu.
  Mafanikio makubwa katika elimu angalia matokeo ya shule ya Bwiru boys mwanza au uliza mwanafunzi yeyote aliye maliza shule hiyo kwa A-level siku za karibuni
  Kwa sasa nipo Dar es salaam,natafuta kazi katika shule za hapa katika leve yoyote.
  kwa mawasiliano
  0766241185
  0784694301
  e-mail stevemag2@yahoo.com
   
Loading...