Natafuta kazi ya kufundisha remote sensing and gis, land surveying

benjapaschal

Member
Nov 12, 2010
5
0
nina Master of science in Geoinformatics, nina weza kufanya kazi na kufundisha pia katika nyanja zifuatazo; Remote sensing, GIS (Geographic Information System), Engineering Surveying, Cadastral Survey and Land Surveyying. NINA UZOEFU WA MIAKA KUMI. KWA MAWASILIANO 0755559790
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,419
2,000
College of Earth Science UDOM nilisikia inatafuta mtu kama wewe.

Wana muhindi mmoja tu Dr Murthy ndio anafundisha RS and GIS College nzima.

Try to contact them.

kama utahitaji namba ya simu ya Head of Department HOD utani-PM.
 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,391
2,000
Mkuu mbona sua walikuwa wanatafuta mwl wa gis mpaka likaludiwa x2 sas tuna part wa kutoka mzumbe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom