natafuta kazi ya kufundisha primary english medium

papijobu

Member
Aug 1, 2017
12
3
Habari jamani!mimi ni mwalimu grade A ila pia nasoma bachelor of adult education open university mwaka wa pili,natafuta nafasi ya kufundisha primary english medium kwa somo la hisabati nipo vizuri sana,nimefundisha primary english medium na serikalini pia,nipo dar es salaam piga namba 0683848116 ,pia hata kama kuna lampuni au taasisi yoyote napiga kazi
 
Back
Top Bottom