Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Jiografia na Historia kwa shule za Msingi na Sekondari

afrikakwetu

Member
Mar 29, 2016
85
43
Amani iwe nanyi wakuu.

Mimi ni kijana (M) umri 27, nipo Arusha.
Elimu: BAED (Geography & History)
Uzoefu: Primary & Secondary level, Air ticketing(Galileo)
Lugha: English (kuongea, kuandika, kusikiliza), French - Beginner
Computer (words, excel, etc.)

Natafuta kazi ya kufundisha nina uzoefu mzuri katika level ya Primary na Secondary katika masomo ya Geography & History. Kazi yoyote tofauti na kufundisha naweza kufanya. Lakini pia Ofisi au Taasisi inayohitaji mtu wa kujitolea nipo tayari

Nina uzoefu wa Air ticketing

Sifa zangu.
Muaminifu, mtulivu
Kujituma na bidii katika kazi
Mwepesi wa kujifunza jambo jipya.

Asante
Siku njema.
 
TANGAZO*
*kwa kijana yoyote wakike au wakiume aliyepo moshi mjini kama huna shughuli yoyote ya kuingiza kipato nicheki chap nkupe dili tamu kuoka halotel hata kama umemaliza form four hivi juz hii itakufaa*
*VIGEZO*
*uwe na smartphone na kitambulisho mojawapo ya hivi*
*MPIGA KURA,CHA TAIFA(NIDA),LESEN YA UDEREVA,CHA MKAZI ZANZIBAR AU PASPORT YA KUSAFIRIA*
*HATA KAMA HANA HVYO VITAMBULISHO NA ANANIA TUTAMSAIDIA*
*Jinsia zote*
NB;KAMA UPO TAYR NICHEK KWA HZO NAMBA MAANA NAWEZA NISIINGIE KUSOMA KAMA UTAANDIKA HUMU
Wasiliana na MTOKOMA halotel Team leader 0622970736,0620733286
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom