albert mwakalinga
Senior Member
- Aug 27, 2015
- 126
- 48
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 27 nimemaliza chuo kikuu nina degree ya ualimu wa masomo ya Geography na economics nimemaliza Mkwawa mwaka jana Nipo tayar kufanya kaz sehemu yoyote. Mm nipo mbeya ,kwa mawasiliano 0756515717,0655157170