Natafuta kazi ya kufundisha komputa chuoni au mwenye uhitaji na it expert! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kufundisha komputa chuoni au mwenye uhitaji na it expert!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by gidytitus, Jun 20, 2011.

 1. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hi! jameni wana JF naombeni niwashirikishe hili jambo, kama kuna nafasi mahali au unaweza kunipatia kazi ya Ualimu kwa kufundisha somo la komputer naombeni tuwasiliane kwa simu yangu ya mkononi 0658 590 264, au kwa njia ya Email gidytitus@yahoo.com. Ninao uwwezo wa kufundisha somo hilo kwa kuzingatia kuwa elimu yangu ni Shahada (Digrii), Bado npo masomoni lakin nategemea kumaliza mwezi Agosti. Shahada yangu ni BEd in Computer Science, npo Chuo Kikuu cha Tumaini tawi la Makumira, Arusha.
  Asante!
   
 2. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  powah mwalimu, naona unataka kuanza kudeliver maujuzi,ikitokea sehemu nitakujuza mkuu.
   
Loading...