Natafuta kazi ya kufundisha Hesabu au Uchumi

Sep 15, 2015
56
31
Nina degree (BAED) ya mathematics na uchumi.
Natafuta kazi. nimemaliza chuo mwaka jana yaani 2016. kwasasa nipo arusha.popote penye uhakika wa kazi naweza kufika.mawasiliano 0766661074/ 0653661074.haijalishi iwe shule ya serikali au binafsi.nipo tayari kufanya nanyi kazi
 
Back
Top Bottom