Natafuta kazi ya kufanya

Princee

New Member
Nov 16, 2017
2
0
Habari wana Jf, mimi ni kijana wa miaka 19 nimemaliza kidato cha 4 mwaka huu. Dhumuni la kuandika ujumbe huu ni kwamba natafuta kazi ya kufanya wakati nasubiri matokeo hivyo naomba msaada wenu ndugu. Napatikana mkoa wa Mwanza pia nina uwezo wa kutumia computer na book keeping.
 
Zipo nyingi tu, ukiamka mwagilia bustani yenu, fagia uwanja, unaweza kufyeka nyasi ndefu, kazi zipo nyingi sana ni wewe tu mdogo wangu, pia jifunze kuanzisha thread, news alert alafu unaandika content hizo? Au nyie ndo wale wa BRN ... News stands for .. notable events, weather and sports .. sasa kuna lolote uliloongelea hapo? Haya mdogo wangu kaoshe vyombo uangalie tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom