Natafuta kazi ya kuendesha Bajaji

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Mimi ni mtu mwenye ulemavu wa miguu,

Natafuta bajaji ya mtu kuendesha kwa mkataba au vinginevyo ilimradi napata riziki yangu na familia, naishi banana, DSM.

Namba yangu ni 0745779477 .

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom