Natafuta kazi ya IT, nina Astashahada ya kozi hiyo

Kukaja Kununu

JF-Expert Member
Mar 27, 2017
1,075
1,204
Habari wakuu, Mimi kijana wa umri wa miaka 22 natafuta kazi ya IT (Information Technology) ambayo Nina taaluma nayo. Kiwango changu cha elimu ni cheti
 
Kuna jamaa yangu anatufuta mtu ambaye yuko vizuri kwenye
SISCO
SAS
&
DBA

Kama uko vizuri nambie nkuunganishe naye
 
Cheti kwanini usiongeze japo dip mana content kwa cheti hata sisco sizani Kama upo vizuri sana
 
Back
Top Bottom