Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,075
- 1,204
Habari wakuu, Mimi kijana wa umri wa miaka 22 natafuta kazi ya IT (Information Technology) ambayo Nina taaluma nayo. Kiwango changu cha elimu ni cheti
Niunganishe nae mkuuKuna jamaa yangu anatufuta mtu ambaye yuko vizuri kwenye
SISCO
SAS
&
DBA
Kama uko vizuri nambie nkuunganishe naye
Hiyo ID yako ni hatari kwa afya za watu tusiojiamini.
Hahaha mbona ya kawaidaHiyo ID yako ni hatari kwa afya za watu tusiojiamini.
Unaishi wapi?Habari wakuu, Mimi kijana wa umri wa miaka 22 natafuta kazi ya IT (Information Technology) ambayo Nina taaluma nayo. Kiwango changu cha elimu ni cheti
Dar es Salaam mkuuUnaishi wapi?