Natafuta kazi ya human resource manager/officer or administrative officer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya human resource manager/officer or administrative officer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mwankuga, Aug 31, 2010.

 1. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Salamu wana familia ya jamiiforum,naomba mnisaidie wadau,natafuta kazi tajwa hapo juu,nina bachelor ya Public Administration
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  tuma maombi kwenye Tume ya utumishi wa UMMA wanaweza kukupa nafasi ya afisa utumishi kule tume ya utumishi wa walimu, ila rekebisha tittle yako wewe una Bachelor Degree huwezi kuwa Manager katika field hiyo utaanza kama officer mkuu.
   
 3. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mdau nashukuru sana kwa ushauri huo,nitjaribu kufanya hivyo,pamoja sana.
   
 4. S

  Subira Senior Member

  #4
  Sep 2, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  tuma maombi haraka east african community kuna kazi zinakufaa sana
   
 5. f

  furahaasid New Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...