nick4real
Member
- Feb 27, 2015
- 10
- 6
Naitwa NICKSON AIVAN,
Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama ifuatavyo;-
1. Nina Bachelor degree ya Procurement and logistics management (Chuo TIA)
2. Computer Skills (SPSS au IBM (Kiasi), Microsoft Excel, Microsoft Word, Microsoft Access (Simple Database), Microsoft PowerPoint (Presentation), HTML (Simple website na Blogs mfano blog yangu ya Nick 4real Nick 4real) na
Hardware maintenance and Troubleshooting.
3. Najua kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza pia najua kuzungumza Kichina "wo hui shuo han yu, danshi shuode bu tai hao" (Najifunza bado naweza kiasi nina mwezi mmoja "yi yue").
Chini naweka moja ya kazi zangu
Kwa mawasiliano nipigie (+255) 0652914141/0745455761
Natanguliza Shukuran zangu za Dhati kwenu wana Jamii Forums.