Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,105
- 2,499
Jamani naombeni msaada wenu, mimi natafuta kazi ya graphics design, kazi nitakayoweza kufanya ni ya PART TIME,naipenda hii kazi na nina uzoefu nalo wa mwaka mmoja na nusu.Nina uwezo wa kutengeneza gazeti (page layouts),vitabu, magazine,logo designing,vipeperushi na matangazo mbalimbali.
Yeyote mwenye kuweza kunipa taarifa ya nafasi ya kazi na kunipatia nitashukuru sana.
Mungu awabariki.
Yeyote mwenye kuweza kunipa taarifa ya nafasi ya kazi na kunipatia nitashukuru sana.
Mungu awabariki.