Natafuta kazi ya Graphic Design & Printing

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
140
Mimi ni graphic designer & Printing,natafuta kazi ktk fani hiyo niliyoianisha hapo juu, ila kwa sasa nafanya na kampuni moja hapa Dar, hivyo kama naweza kupata sehemu yenye maslahi zaidi inaweza kuwa vema.Wana JF Najua tuko tayari kwa kuinuana

Uzoefu ninao wa kutosha

Asanteni
 
Mimi ni graphic designer & Printing,natafuta kazi ktk fani hiyo niliyoianisha hapo juu, ila kwa sasa nafanya na kampuni moja hapa Dar, hivyo kama naweza kupata sehemu yenye maslahi zaidi inaweza kuwa vema.Wana JF Najua tuko tayari kwa kuinuana

Uzoefu ninao wa kutosha

Asanteni


VP HIYO KAMPUNI UNAYOFANYA NINA DOGO MMOJA YUPO NONDO ALINIAMBIA NIMUUNGANISHIE KWA RAFIKI YANGU MMOJA YUPO HAPO HOME LKN NIKASHINDWA MAANA NILIKUWA TIGHT MNO.

KAMA WANACHUKUWA VIJANA WANAO JIWEZA KATIKA HIYO FAN NIAMBIE ILI NIM PM HUYO DOGO AJE HAPO.
 
Kama mambo anayaweza kwa maana ya kujua kutumia machine kama Di, speed master na qrs machine anaweza akapata nafasi
 
Kama mambo anayaweza huyo dogo kwa maana ya kujua kutumia image sater,kwenye hizi machine kama Di, speed master , qrs machine na kutoa film anaweza akapata nafasi na pia aendane na program hizi QuackExpress 7.5, Free Hand, na adobe zote(Illustror cs3, Photoshop cs3, Indesign cs3)


Ni hilo tuu Mkuu
 
Samahani Pia Kuna Gaezti La Daily News La Leo Angalia Nimeona Kunanafasi Za Kazi Za Graphics Designer Jaribu Nafasi Yako Tena Wametoa Namba Za Simu
 
Shy,
Boss Millenium tower iko wapi? ama ni hapa karibu na PPF tower? labda nijaribu kuwatafuta, ama ingekuwa vema boss ukanishika mkono ukanipeleka mwenyewe,unajua mji huu una wenyewe,na wenyewe ndiyo akina Shy na lazydogo, na pia kwenye magazeti naona sina kiwango waheshimiwa.
Shy vipi kuhusu ujasiliamali boss?
 
Isaya Je Unaweza Kufundisha Somo Hilo ?

Kuna Mtu Ako Udsm Anapenda Kufundishwa Kama Uko Interested Nitakupatia Numbre Yake
 
GRAPHIC Designer- I am looking for a Freelance graphic Designer who can design for me Newspaper ADVERTS .. Payment is done per advert/layout designed...Send me your previous works for discussion !
Thanks
 
wewe sio printing, jiite tu Graphic designer inatosha...huenda hata kuorperate mashine hata moja hujui (according to my experience with graphic designers), kwahiyo jinadi kama graphic designer tu.
 
I'm a professional Graphics Designer looking for a job in Printing Companies/Advertising Agencies.I am very experienced in designing n' i can use many different softwares. If you are interested to me call/send msg to 0757967146
 
Back
Top Bottom