Enno Temba
Member
- Sep 30, 2015
- 30
- 6
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 24, Nina shahada katika fani ya banking and finance.
Pia nina uzoefu kidogo katika fani yangu. Nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni, taasisi, benki nk.
Kama wewe au mtu yoyote anahitaji mtu mwenye sifa kama zangu haya ndo mawasiliano yangu
0755982500
NATANGULIZA SHUKRANI.