Natafuta kazi ya community development

Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Wakuu naombeni msaada wenu.Natafuta kazi ya Community Development Officer.Nina Certificate in Community Development,Diploma in Social Work and Social Administration na Degree ya Development Studies.
Naombeni msaada wenu wakuu
 
Hata mimi natafuta hiyo kazi... Jaribu migodini, huwa wanahitaji watu wa hiyo backgroung kwa PR na Social rehabilitation. Vikishindikana kabisa ngoja tuanzishe ka NGO ka kuhifadhi mazingira...
 
Barrick gold wametangaza hizo kazi za Communityrelations nyingi tuu wiki iliyopita. Tafuta Guardian na Daily news za wiki iliyopita. AU tuma applydar@barrick.com. Nadhani wana project ya Maendeleo Fund or sumthn.
 
C ukawe bank teller mkuu,au nayo umekosa?

Kuna watu humu ndani hawako serious kabisa,mtu anaomba ushauri we unaleta utani,kazi unayoweza kufanya ni za NGO kwa sasa coz Serikali haikuajiri mwaka huu nafasi za Maendeleo ya Jamii hadi next year
 
Kuna watu humu ndani hawako serious kabisa,mtu anaomba ushauri we unaleta utani,kazi unayoweza kufanya ni za NGO kwa sasa coz Serikali haikuajiri mwaka huu nafasi za Maendeleo ya Jamii hadi next year

kwan m2 mwenye hyo degree hawezi kuwa teller?
 
kwan m2 mwenye hyo degree hawezi kuwa teller?

Wewe unasema hvy as if kuwa bankteller ni last option unapokua umekosa kazi,kuna option nyng ila kama anataka NGO nafasi zinatoka kila siku ila kama anataka Serikalini inabidi awe mpole
 
jamani mtu anapoomba ushauri ina maana kuna watu wanaojua zaidi kuliko yy,tuwe serious na kusaidiana jamani.ushauri wangu jaribu kwenye NGO kama unavyoshauriwa.mungu atakusaidia utapata
 
Wakuu naombeni msaada wenu.Natafuta kazi ya Community Development Officer.Nina Certificate in Community Development,Diploma in Social Work and Social Administration na Degree ya Development Studies.
Naombeni msaada wenu wakuu

Mkuu tafuta kwenye google, Plan International wametangaza kazi zinazoendana na profession yako.
 
Humu ndani kuna watu wanaakili za kushikiwa,mi nimetangaza natafuta kaz ya houseboy watu wakawa wanacheka na kunikejeli,mtanzani mwengine huyu hapa kajitokeza na madegree yake bot kuna pipo bado wanatry kumdestroy,aaaargh mnakera jaman wapen moyo kaka zenu na dada zenu,I'm out!
 
Back
Top Bottom