Natafuta kazi ya Clinical Officer

Machmadem

JF-Expert Member
Jul 9, 2017
569
1,000
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ni muhitimu wa kozi ya Clinical Officer (CO) katika chuo flani hapa dar es salam.

Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi napatikana Dar es Salam.

Nipo tayari kufanya kazi popote pale.

Kwa yoyote anaye weza kunipatia kibarua au kunionganisha tuwasiliane

Mawasiliano: 0627156050
 

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
5,268
2,000
Kweli Magufuli kaua uchumi wa nchi.

Clinical officers enzi za Magufuli private walikuwa wakilipwa hela nyingi kuliko hata serikalini wakiwabembeleza wabaki huko.

Sasa serikalini ajira zenu bado chache tu tena za Kisiasa, private nako wanaringa kwakuwa mko wengi.

Halafu anatokea mtu anamsifia Magufuli, namuona kichaa huyo mtu
 

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
999
1,000
Clinical Officer ni utopolo skuhizi yan duh mimi naiita kozi ya kimaskini labda uwe na channel ya uhakika
 

kitaruo

Senior Member
Aug 23, 2018
150
250
Duuh amakweli magu hakuwa na uruma.

Kijana weka vyeti vyako, futa vumbi na kuviweka salama

Hali inaanza kurudi kama zaman, naona hata mama hafanyi tena miradi mipya, kuna tumaini la watu kupata ajira nyingi serekalim

Mama kinacho mkwamisha sasa ni miradi mikubwa, kama sGR na bwawa la nyerere, kwan inakula pesa nyingi

Hakuna mtumishi wa umma unamwambia kuhusu magu akakuelewa. Ni watu wachache ambao hawajui dhana ya uchumi na content zake.

Hakuna serekali inajenga uchumi wa ke uchumi unajengwa na vijana na kuwapa vijana hao fursa.

Kila mtanzania, alipitia kipindi kigumu sana mwaka 2018 mpaka 2020 hakuna unaye muona hakaacha kukupa simulizi ya kipindi hichi, kilikuwa cha maumivu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom