Natafuta kazi ya bank teller

Sidhani kwa ushindani huu kama unaweza pata hiyo kazi unayotaka maana najua sikuhizi wanachukua adv dip tena za banking....nakushauri uende shule kwanza.....vyuo vinawatema sana hao wenye sifa.....ila sio form six tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom