Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

Mi naweza kukulipa huo mshahara ila kutunza bustani kutembeza biashara ndogo na baiskeli kama uoo tayari njoo pm nipo mara pia
 
Ningepata ya kutulia ingekuwa safi sana

1. Baba yako mzazi anajishughulisha na nini? Nenda kamsaidie shughuli zake kwa juma moja.

2. Matamanio yako inavyoonekana ni kazi za kutotangamana na watu wengi (ofisini), au za kufanyia tokea nyumbani. Sivyo? Angalia shughuli anayofanya baba yako halafu uone namna ya kuiasili nawe uifanye.
 
Sina Wazazi mzee nina ndugu nao pia wapo mkoa
 
nipe ramani mkuu nije fasta tupige kazi
Mgodi wa North Mara upo Nyamongo (Tarime Vijijini)

Kuna Ujenzi wa Barabara chini ya Kampuni ya Nyanza Road

Watahitaji vibarua wiki hii kwa ajili ya hio kazi.

Jilipue tu uje. Huku ukibahatika hata kwenye migodi midogo walinzi wanalipwa laki 4+
 
mkuu na ww upo huko au
 
kama unaweza kupata cheti cha darasa la 7 na kitambulisho cha nida...pamoja na cheti cha kuzaliwa...huku ukiwa na wadhamini wawili wawe mwanza au dar es salaam...jaribu kwenye kampuni ya ulinzi GARDA unaweza kupata mshahala kuanzia 250k...lakini ni lazima uwe mrefu pamoja na miaka kuanzi 24
 
Hivyo vyote ninavyo ila shida sipo kwenye hiyo mikoa tajwa hapo juu, nipo Mara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom