Natafuta kazi ya Afisa Tabibu Msaidizi (Clinical Assistant)

koboG

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
1,472
2,000
Njinsia: Me

Yeye ni Clinical Assistant (CA) kwa Maana nyingine ,Afisa tabibu msaidizi hakuweza kuendele na mwaka mwingine wa masomo kutona na changamoto za ada kama kuna mdau yoyote atakae hitaji kumtumia huyo mtu labda dispensary, kituo cha afya au pharmacy awe wakala.

Hata polyclinic yoyote awe kama mtu wa reception yeye yuko tayari ili ajipatia japo fedha za kujikim na hatimae akamalize masomo Yake pia yuko tayari kulipwa kiasi chochote na kufanya kazi sehem yoyote Tanzania na anauzoefu wa mwaka 1.

0621473450
 

koboG

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
1,472
2,000
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Utapata Ila Nashauri Taja Location Yako
OK mkuu nashukuru kwa ushauri, kwa sasa niko,dar Dar es salaam kata ya Bunju japo hata kama itaku mikoan nitafika tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom