Natafuta kazi ya Afisa Mikopo

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Habari,

Kwa majina naitwa Peter Bernad, miezi kadhaa niliwahi kutoa tangazo la kuomba nafasi angalau ya kuonyesha njaa yangu ya kujituma ili kutimiza mafanikio yangu kimaisha. Uzi wangu uliwagusa wengi, na nashukuru wengi wenu mlikuja DM kwa lengo la kutimiza hitaji langu la nafasi ya ajira.

Asanteni, ila cha kunisikitisha hakuna aliefanikisha kutimiza ahadi aliyonipa japo zilikuwa ni za kutia matumaini. Wengi niliwakumbusha Ila ilikuwa ni kama kero kwa wengi wenu. Kusaidia ni moyo ndugu zangu maandiko yanasema hakuna Jambo baya kama kuweka nadhiri ya ahadi kwa muhitaji, mnyonge au fukara bila kuitimiza maana machozi ya huyu mtu atamlilia Mungu akiamini yeye ndie sababu ya kushindwa kumfanyia wepesi kwenye hitaji lake.

Mungu hatopendezwa, Ila yote kwa yote nashukuru Mimi bado ni muhanga wa ajira nafanya biashara ndogo ndogo ambazo zinakizi kiwango kidogo cha kusongesha maisha yangu. Mimi Nina elimu ya stashahada ya ugavi na uchukuzi na uzoefu mkubwa wa masuala ya mikopo kama loan officer kwenye Microfinance.

Kama una moyo unaweza kunipa nafasi ili kutimiza malengo yako na ya kwangu. Sifa yangu kubwa ni uchapaji kazi bila kukata tamaa pale napopata nafasi. Asanteni na Mungu awabariki.

Napatikana Kinondoni Dar es Salaam
 
Maandiko yanasema, hakuna Jambo baya kama kuweka nadhiri ya ahadi kwa muhitaji, mnyonge au fukara bila kuitimiza maana machozi ya huyu mtu atamlilia Mungu akiamini yeye ndie sababu ya kushindwa kumfanyia wepesi kwenye hitaji lake. Mungu hatopendezwa.
Haya si manene ya kuandika kama wewe muhitaji kama una wasimanga.

Hakuna mpango ulio mwepesi Duniani kwamba eti Nipe namba->njoo kesho->Ajira tiari->Booom mipesa.
 
Ungekuwa una njaa ya maisha ungenielewa nilichomaanisha. Kwavile umeshiba mkuu huwezi kunielewa
 
Mimi nilishagaacha kulia njaa humu. Wakati naingia, kwa namna ya watu wanavyotambiana.

Utasikia "mimi ni HRM wa sbc bwana" mara "next month naplan kutangaza nafasi za kazi, ila sitaki kuzigawa kwa kujuana". Ukiulizia anakwambia ni general manager wa company kubwa sana apa town.

Hiyo "next month" kimya. Mrejesho ni masimango na kashfa. Wanageuka ma inspirational speakers. "Tatizo vijana wa siku hizi wavivu" ndo kauli zao.

Sincerely speaking, humu hakuna msaada. Kulialia hakutakusaidia, zaidi unajichoresha bure tu.
 
Shukran mkuu

Nafaham mkuu na nataman mno Ila kwangu ni changamoto, Sina hata pa kukopa iyo nauli ya kuja Nina madeni kila sehm. Asante na Mungu akubariki
Ungekua Mwanza ningekuunganisha kazi ya sales, ila unalipwa 300,000 kwa mwezi.
 
Habari,

Kwa majina naitwa Peter Bernad, miezi kadhaa niliwahi kutoa tangazo la kuomba nafasi angalau ya kuonyesha njaa yangu ya kujituma ili kutimiza mafanikio yangu kimaisha. Uzi wangu uliwagusa wengi, na nashukuru wengi wenu mlikuja DM kwa lengo la kutimiza hitaji langu la nafasi ya ajira.

Asanteni, ila cha kunisikitisha hakuna aliefanikisha kutimiza ahadi aliyonipa japo zilikuwa ni za kutia matumaini. Wengi niliwakumbusha Ila ilikuwa ni kama kero kwa wengi wenu. Kusaidia ni moyo ndugu zangu maandiko yanasema hakuna Jambo baya kama kuweka nadhiri ya ahadi kwa muhitaji, mnyonge au fukara bila kuitimiza maana machozi ya huyu mtu atamlilia Mungu akiamini yeye ndie sababu ya kushindwa kumfanyia wepesi kwenye hitaji lake.

Mungu hatopendezwa, Ila yote kwa yote nashukuru Mimi bado ni muhanga wa ajira nafanya biashara ndogo ndogo ambazo zinakizi kiwango kidogo cha kusongesha maisha yangu. Mimi Nina elimu ya stashahada ya ugavi na uchukuzi na uzoefu mkubwa wa masuala ya mikopo kama loan officer kwenye Microfinance.

Kama una moyo unaweza kunipa nafasi ili kutimiza malengo yako na ya kwangu. Sifa yangu kubwa ni uchapaji kazi bila kukata tamaa pale napopata nafasi. Asanteni na Mungu awabariki.

Napatikana Kinondoni Dar es Salaam
Kama upo kinondoni si usogee hapo ASA
 
Anza kuwakukopesha kidogo2 huku ukiwa na mkakati namna ya kuhakikisha wanarejesha na ukifanikiwa Nina Imani utafungua ofisi tako na wewe ndo utatoa ajira
 
Mimi nilishagaacha kulia njaa humu. Wakati naingia, kwa namna ya watu wanavyotambiana.

Utasikia "mimi ni HRM wa sbc bwana" mara "next month naplan kutangaza nafasi za kazi, ila sitaki kuzigawa kwa kujuana". Ukiulizia anakwambia ni general manager wa company kubwa sana apa town.

Hiyo "next month" kimya. Mrejesho ni masimango na kashfa. Wanageuka ma inspirational speakers. "Tatizo vijana wa siku hizi wavivu" ndo kauli zao.

Sincerely speaking, humu hakuna msaada. Kulialia hakutakusaidia, zaidi unajichoresha bure tu.
Duuuuuh aiseeeeh, mbna hatarii San lol
 
Anza kuwakukopesha kidogo2 huku ukiwa na mkakati namna ya kuhakikisha wanarejesha na ukifanikiwa Nina Imani utafungua ofisi tako na wewe ndo utatoa ajira
Ndugu yangu utamsaidia mtaji wa kukopeshea.
Maana ameandika ana madeni kila kona.
Mpaka mtu anaomba loan officer kwa microfinance jua amebanwa sana
 
Back
Top Bottom