Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

Ndugu Habarini,

Natumaini nyote ni wazima humu ndani.

Mimi ni kijana Mtanzania niliyekuwa nimeomba maombi ya ualimu Serikalini lakini kwa mipango ya Mungu nikakosa nafasi hiyo.

Hivyo naomba kwa yeyote ambaye anayeweza kunisaidia shule yoyote ya Private kwa ajili ya kufundisha nimtumie CV yangu.

Masomo ni Arts.

Ahsanteni.
Kama hujaanza kufikiri nje ya taaluma yako utahangaika sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom