Natafuta kazi, nipo Dodoma na elimu yangu ni Form Four

Lizlina

Member
Jun 25, 2021
43
38
Habari Wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23, Nina elimu ya form four natafuta kazi ya kuniingizia kipato mfano kuuza Duka, kufanya usafi maofisini na nyinginezo

Nina uzoefu wa kuuza Duka ambapo nimewahi uza Duka la nguo za ndani huko kariakoo, ni binti mchangamfu na najua kukaribisha wateja.

Naomba Mwenye anaeza nisaidia kazi please au hata wazo.

Asante
 
Kazi ya Receptionist kwenye Lodge unaweza??lakini ni kazi ya kulala hapohapo na sio kuja na kuondoka,kama unaweza njoo PM
 
Binti yangu usije kuangukia mikononi mwa mafisi! Afadhari utafute mtaji ufanye biashara zako.
 
Habari Wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23, Nina elimu ya form four natafuta kazi ya kuniingizia kipato mfano kuuza Duka, kufanya usafi maofisini na nyinginezo

Nina uzoefu wa kuuza Duka ambapo nimewahi uza Duka la nguo za ndani huko kariakoo, ni binti mchangamfu na najua kukaribisha wateja.

Naomba Mwenye anaeza nisaidia kazi please au hata wazo.

Asante
[/QUOTE
Njoo pm many mamy tuhojiane mambo ya malipo.
Nina duka na stationary
 
N[QUOTE="Lizlina, post: 39694192, member: 637462"
Habari Wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23, Nina elimu ya form four natafuta kazi ya kuniingizia kipato mfano kuuza Duka, kufanya usafi maofisini na nyinginezo

Nina uzoefu wa kuuza Duka ambapo nimewahi uza Duka la nguo za ndani huko kariakoo, ni binti mchangamfu na najua kukaribisha wateja.

Naomba Mwenye anaeza nisaidia kazi please au hata wazo.

Asante
[/QUOTE]
Njoo pm binti tuhojiane kiwango Cha malipo kazi IPO ya duka la VITAFUNWA na Stationary
 
Ok
 
Form 4 nayo utaita elimu?
 
Kama upo serious njoo pm kazi zipo!
 
Back
Top Bottom