Natafuta kazi, nipo Dodoma na elimu yangu ni Form Four

Lizlina

Member
Jun 25, 2021
6
45
Habari Wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23, Nina elimu ya form four natafuta kazi ya kuniingizia kipato mfano kuuza Duka, kufanya usafi maofisini na nyinginezo

Nina uzoefu wa kuuza Duka ambapo nimewahi uza Duka la nguo za ndani huko kariakoo, ni binti mchangamfu na najua kukaribisha wateja.

Naomba Mwenye anaeza nisaidia kazi please au hata wazo.

Asante
 

nsibirwaha

Member
Jun 10, 2021
34
125
Kazi ya Receptionist kwenye Lodge unaweza??lakini ni kazi ya kulala hapohapo na sio kuja na kuondoka,kama unaweza njoo PM
 

sysafiri

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
850
1,000
Binti yangu usije kuangukia mikononi mwa mafisi! Afadhari utafute mtaji ufanye biashara zako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom