Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi mbalimbali

Janemo

Senior Member
Aug 17, 2016
106
38
Ninauzoefu kwenye biashara
(Kuuza maduka ya nguo, secretarial works na supermarket)
Nina ujuzi wa computer( excel, word and power point)

Pia uwezo wa kufanya data collection and analysis by computer in any field.

Jaman sichagui kazi,
Kwa ambae anahitaji mtu katika nyanja hizo hapo juu plz contact me +255754939399
Nipo Dar es salaam Kigamboni.
 
Mkuu kama upo kigamboni ungeangalia michongo na kwenye Uvuvi
 
Kama bado hujapata pls pm me
Hello, niliandika tangazo la uzoefu wa kazi mbalimbali
Npo kigamboni mkuu
Data collection and analysis
Biashara
Secretarial works
Supermarket pia
Ninajua computer vyema
Asante
 
Ninauzoefu kwenye biashara
(Kuuza maduka ya nguo, secretarial works na supermarket)
Nina ujuzi wa computer( excel, word and power point)

Pia uwezo wa kufanya data collection and analysis by computer in any field.

Jaman sichagui kazi,
Kwa ambae anahitaji mtu katika nyanja hizo hapo juu plz contact me +255754939399
Nipo Dar es salaam Kigamboni.
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom