Natafuta kazi, nina uzoefu katika salem, customer care, operation manager na supervisor

m-yala

Member
May 13, 2014
17
45
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
140,698
2,000
Habari zenu wakuu Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina udhoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe MWENYE bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weredi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
Unapatikana wapi?

Jr
 
Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
330
225
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
watumie hawa jamaa cv zako powercooltechservices@gmail.com
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom