Natafuta kazi, nina shahada ya sayansi ya misitu

Hapana shaka, utakuwa unamjua Prof. Maliondo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kabisa
Alinifundisha SOIL,semister ya kwanza.
Yule Prof alikuwa na swaga za aina yake akiingia darasani,yani kwanza vifungo vya shati sharti vipishane au akichomekea basi shati litakaa upande.
Halafu anachoongea hakieleweki wakati huo anatoka jasho balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahah basi mwanzo mzuri huu, haeleweki anachofundisha au lugha gongana?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kabisa
Alinifundisha SOIL,semister ya kwanza.
Yule Prof alikuwa na swaga za aina yake akiingia darasani,yani kwanza vifungo vya shati sharti vipishane au akichomekea basi shati litakaa upande.
Halafu anachoongea hakieleweki wakati huo anatoka jasho balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisa

Halafu anachoongea hakieleweki wakati huo anatoka jasho balaa
Huyu mzee anashida gani? sikuwahi kumuelewa huyu mwamba kutoka department ya soil pia
 
Natumaini muwazima wa afya.

Mimi ni binti nina uhitaji wa kazi yoyote iliyo halali. Nina Bachelor of science in Forestry kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine(SUA)

Sina uzoefu wowote, nina ujuzi wa compture(Microsoft word and Microsoft excel)

Kwasasa niko Mkoa wa Ruvuma lakini naweza kufanya kazi mkoa wowote,

Naomba mnisaidie,nina jukumu zito la kuisaidia familia yangu
Natanguliza shukrani.

NOTE: Nimetumia ID mpya kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu ni lakini pia niwe huru kujielezea.
Nenda Chato fasta utapata kazi

Muheshiwa Leo Chato amezindua shamba la miti ni la 3 kwa ukubwa hapa Tanzania
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu Maliondo alikuwa anasoma notes sio kufundisha,na muda wote anaongea na ubao
Dah mumemchana mzee wangu kisoo soo! Mi nilijua alikuwa noma kumbe mlikuwa hamumuelewi. Mkiuliza swali inakuwaje au alikuwa anawapa wa mbuzi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kabisa
Alinifundisha SOIL,semister ya kwanza.
Yule Prof alikuwa na swaga za aina yake akiingia darasani,yani kwanza vifungo vya shati sharti vipishane au akichomekea basi shati litakaa upande.
Halafu anachoongea hakieleweki wakati huo anatoka jasho balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shati lazma lichomoke upande mmoja? πŸ˜‚
 
Dah mumemchana mzee wangu kisoo soo! Mi nilijua alikuwa noma kumbe mlikuwa hamumuelewi. Mkiuliza swali inakuwaje au alikuwa anawapa wa mbuzi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???
tusamehe mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Utauliza maswali mangapi mkuu ili uelewe.
Somo lake nililifaulu kwa kukariri tu hakuna kitu nilielewa.Yeye kumaliza topic 3 kwenye kipindi kimoja kwake halikuwa tatizo
 
Basi mzee alikuwa ana lecture kweri kweri πŸ˜‚!!!
Amna ufundishaji unaokera kama wa kusomewa notes bila kutafsiriwa.
Vipi na notes, alikuwa anawapa kitini au copy za vitabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
alikuwa na compendium yake kubwa balaa,Anawapeni hilo mkatoe copy
 
Hawa walimu wa vyuo vikuu sijui huwa wakoje,kuna mmoja alinipiga pindi la entrepreneur, duh yaani anatinga class kachomekea shati kwenye boxer,halafu zile boxer za bei ya chini sana! Halafu yuko busy na ubao na MIC,anatokwa jasho! Hadi unawaza huyu ticha katoka club nini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usiombe Mungu uwe umekaa siti ya kwanza,utaoga mvua ya mate dadek
 
Hahahahah dah balaa aisee SUA sio mchezo
SUA ni hatari kwa afya.Baada ya chuo cha St joseph kufungwa baadhi ya wanafunzi waliletwa SUA(waliokuwa wanasoma course ya Agriculture ).Wale wanafunza baada ya kufika SUA walidisco mpaka huruma
 
Kabisa
Alinifundisha SOIL,semister ya kwanza.
Yule Prof alikuwa na swaga za aina yake akiingia darasani,yani kwanza vifungo vya shati sharti vipishane au akichomekea basi shati litakaa upande.
Halafu anachoongea hakieleweki wakati huo anatoka jasho balaa

, mzee wa kushuka na slides tu. Anaongea kama ananong’ona peke yake na mitupio yake ya rangi ya udongo kama somo lake.
 
Back
Top Bottom