Natafuta kazi: Nina shahada ya Meteorology, naweza kufundisha Physics na Hesabu

M

mbu wa dengue

Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
75
Likes
71
Points
25
M

mbu wa dengue

Member
Joined Jun 2, 2014
75 71 25
CBE na Bsc Meteorology wapi na wapi? Au umeangalia vibaya hilo jina la programme?
Amechanganya majina ya programmes,pale CBE Kuna kozi inaitwa Bsc. In Industrial Metrology na karibu wote waliosomea hii kozi walipewa kazi kwenye vitengo mbalimbali serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Messages
1,681
Likes
2,513
Points
280
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2010
1,681 2,513 280
Hii kozi ya Meteorology ukitaka kufaidi uwe sponsored. Maana yake ukitoka shule unapata ajira. Nakumbuka zamani degree pekee East Africa ilikuwa inapatikana Kenya tu, Nairobi University. Sijui kwa sasa.

Kwa vijana wanaotaka kusomea hii kozi, pata ufadhili ila usisome kwa sababu unasoma.

Lakini pia kwa sababu hii kozi inabidi uwe mzuri kwenye masomo ya sayansi, jaribu kufanya kozi nyingine inayohusiana na hali ya hewa na mahesabu kama kuongoza ndege kwenye tower.
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
4,961
Likes
5,017
Points
280
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
4,961 5,017 280
Kama vipi fuatilia na kazi za jeshini.
Watu wa met huwa wanahitajika sana huko.
Pia nenda kajaribu kuomba kazi ya kufundisha mambo ya met pale CATC chuo kinachomilikiwa na TCAA.
 
Ni kweli atege macho na masikio pale TMA, na TCAA.
 
S

Sonam96

Member
Joined
Jan 29, 2019
Messages
7
Likes
2
Points
5
S

Sonam96

Member
Joined Jan 29, 2019
7 2 5
Kama vipi fuatilia na kazi za jeshini.
Watu wa met huwa wanahitajika sana huko.
Pia nenda kajaribu kuomba kazi ya kufundisha mambo ya met pale CATC chuo kinachomilikiwa na TCAA.
Thanks I appreciate
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,287
Likes
1,809
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,287 1,809 280
Amechanganya majina ya programmes,pale CBE Kuna kozi inaitwa Bsc. In Industrial Metrology na karibu wote waliosomea hii kozi walipewa kazi kwenye vitengo mbalimbali serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio ninataka nishangae

CBE watoe programme ambayo inafundishwa na Department of Physics UDSM ?
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
20,913
Likes
21,638
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
20,913 21,638 280
Mimi ni msichana mwenye miaka 23

Natafuta kazi yoyote halali nina degree ya meteorology
Naweza fundisha physics and mathematics subject o-level and advance level

Thanks
KM UKO Tayari kumfundisha mtoto wa form 3 PHY, CHEM na MATHS? Njoo PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,364
Members 485,562
Posts 30,121,239