Natafuta kazi: Nina shahada ya Meteorology, naweza kufundisha Physics na Hesabu


S

Sonam96

Member
Joined
Jan 29, 2019
Messages
7
Likes
2
Points
5
S

Sonam96

Member
Joined Jan 29, 2019
7 2 5
Mimi ni msichana mwenye miaka 23

Natafuta kazi yoyote halali nina degree ya meteorology
Naweza fundisha physics and mathematics subject o-level and advance level


Thanks
 
Uncle Yoso

Uncle Yoso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
269
Likes
134
Points
60
Uncle Yoso

Uncle Yoso

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
269 134 60
Atleast uwe na uzoefu wa miaka5-10 ndo wanavyotuambiaga
 
MAJIYAPWANI

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
757
Likes
913
Points
180
MAJIYAPWANI

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
757 913 180
Daaah hii kozi niilikimbia pale cbe nilijua kaz zake ni challnge sana
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,299
Likes
4,432
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,299 4,432 280
Huyu ndo mwanamke wa kuoa. Sijui wanaume tupoje kuahangaika na vichampampali vya mtaani
 
E

euca

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
1,253
Likes
600
Points
280
Age
25
E

euca

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2015
1,253 600 280
Daaah hii kozi niilikimbia pale cbe nilijua kaz zake ni challnge sana
Unachanganya madawa ndugu ,hiyo ya cbe ipo vizuri Sana hukosi kazi kwenye viwanda vya kanjbhai,bt hii ya mtoa mada ndo chaka ukikosa kazi airport,tma au wizara ya uchukuz bas imekula. Kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MarkHilary

MarkHilary

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2015
Messages
1,334
Likes
1,024
Points
280
MarkHilary

MarkHilary

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2015
1,334 1,024 280
Pole mdogoangu,achana na hizo habari za kufundisha...anza kujitotea katika taasisi zinazohusika utasoma ramani kuanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,348
Members 485,558
Posts 30,120,860