Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

Zyusual,

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
 
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Kwahiyo umemsaidia nini hapo?
 
Labour market huwa inabadilika over a time. Huenda wakati anasoma hyo program soko la ajira lilikuwepo. So acha kejeli kama huna cha kumshauri better ungepiga kimya.
 
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Mbona hivyo mkuu!wote tungesoma corse kama yako bado tungeomba pia ajira kama tunavyo fanya sasa.wakati mwingine hekima ni muhimu
 
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..

Huu unaitwa UKWELI MCHUNGU na anayepewa anapashwa Kuukubali na Kuuvumilia vile vile.
 
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Hizi umetaja ni course very potential. Hata hii aliyosomea bi dada ni nzuri sana......

Kwa sasa hali ya uchumi imekaza so kampuni nyingi zinafungwa na kushindwa kuoperate kutokana na mzunguko wa pesa kwa wateja na wadau kupungua.....

But MUNGU akijalia huu uchumi ukafufuka tena basi hao uliowataja watahitajika kwa kasi sana na hawatakaa mtaani.
 
Ngoja tuzidi pambana mkuu hata hivyo asante kwa andiko lako
 
Zyusual,

Mtoto mzuri pakia CV yako PSRS kwenye ile AJIRA PORTAL na wapelekee CV zako wale wakala wa ajira TAET nadhani walikuwa pale mkabala na DIT kisha endelea kufight ajira za MARKETS zipo nyingi...njoo PM nikupe namba za mshua fulani pia ujaribu.
 
Wakala wa ajira wanaitwa Taesa ndio wako pale mkabala na DIT
 
Hivi hawa jamaa wana kazi gani zaidi
Kazi ambayo ninaifaham Mimi ni kwamba huwa wanapelekewa nafasi za kazi na taasisi na kampuni mbalimbali halafu wanafanya comparison na CV za watu walizonazo halaf wenye CV zinazoendana na matakwa ya taasisi husika wataitwa kwa ajili ya kufanya usahili.
 
Ko wanapokea CV jamaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom