Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relation and Marketing

M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,200
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,200 2,000
Cheki TAA wametangaza ajira za fani yako Omba kupitia PSRS.
 
Z

Zyusual

Member
Joined
Nov 9, 2018
Messages
27
Points
45
Z

Zyusual

Member
Joined Nov 9, 2018
27 45
Nina IMANI kwa mtaji wa mikono yako miwili...miguuu miwili..macho mawiliii AKili TIMAMU ya ku create THREAD watu wakaiona una uwezo wakufanya kitu kupitia Hivyo vitu nilivyo kutajia...AMUA SASA ajira unayo TAYARI.
Unamaanisha nini mkuu
 
KINGSLEE

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
570
Points
500
KINGSLEE

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
570 500
Habari za mwaka mpya wakuu, bado ninatafuta ajira ndo maana nimerudi tena yawezekana jana sikupata lakini leo nikapata.

Mimi ni msichana niliyehitimu chuo kikuu na degree ya Masscommunication specialized in Public Relation and Marketing, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita.

Nimefanya kazi za kujitolea katika NGOs mbili hivyo nina uzoefu katika utekelezaji wa miradi tofauti na pia ni nina fanya vizuri katika katika sekta ya customer care pamoja na sekta ya Public relations
Q
Ninaomba yeyote atakaye ona anauwezo wa kunisadia nipate ajira mimi nipo an an a use so uses IMbeya hakika sitomwangusha
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
 
Msangarufu

Msangarufu

Senior Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
148
Points
250
Msangarufu

Msangarufu

Senior Member
Joined Sep 18, 2018
148 250
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Kwahiyo umemsaidia nini hapo?
 
tryvenak

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Messages
243
Points
500
tryvenak

tryvenak

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2017
243 500
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Labour market huwa inabadilika over a time. Huenda wakati anasoma hyo program soko la ajira lilikuwepo. So acha kejeli kama huna cha kumshauri better ungepiga kimya.
 
Z

Zyusual

Member
Joined
Nov 9, 2018
Messages
27
Points
45
Z

Zyusual

Member
Joined Nov 9, 2018
27 45
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Mbona hivyo mkuu!wote tungesoma corse kama yako bado tungeomba pia ajira kama tunavyo fanya sasa.wakati mwingine hekima ni muhimu
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
33,801
Points
2,000
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
33,801 2,000
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Huu unaitwa UKWELI MCHUNGU na anayepewa anapashwa Kuukubali na Kuuvumilia vile vile.
 
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
3,187
Points
2,000
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
3,187 2,000
Qa

Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..

In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!

Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.

Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..

Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Hizi umetaja ni course very potential. Hata hii aliyosomea bi dada ni nzuri sana......

Kwa sasa hali ya uchumi imekaza so kampuni nyingi zinafungwa na kushindwa kuoperate kutokana na mzunguko wa pesa kwa wateja na wadau kupungua.....

But MUNGU akijalia huu uchumi ukafufuka tena basi hao uliowataja watahitajika kwa kasi sana na hawatakaa mtaani.
 
Z

Zyusual

Member
Joined
Nov 9, 2018
Messages
27
Points
45
Z

Zyusual

Member
Joined Nov 9, 2018
27 45
Hizi umetaja ni course very potential. Hata hii aliyosomea bi dada ni nzuri sana......

Kwa sasa hali ya uchumi imekaza so kampuni nyingi zinafungwa na kushindwa kuoperate kutokana na mzunguko wa pesa kwa wateja na wadau kupungua.....

But MUNGU akijalia huu uchumi ukafufuka tena basi hao uliowataja watahitajika kwa kasi sana na hawatakaa mtaani.
Ngoja tuzidi pambana mkuu hata hivyo asante kwa andiko lako
 
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
4,227
Points
2,000
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
4,227 2,000
Habari za mwaka mpya wakuu, bado ninatafuta ajira ndo maana nimerudi tena yawezekana jana sikupata lakini leo nikapata.

Mimi ni msichana niliyehitimu chuo kikuu na degree ya Masscommunication specialized in Public Relation and Marketing, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita.

Nimefanya kazi za kujitolea katika NGOs mbili hivyo nina uzoefu katika utekelezaji wa miradi tofauti na pia ni nina fanya vizuri katika katika sekta ya customer care pamoja na sekta ya Public relations

Ninaomba yeyote atakaye ona anauwezo wa kunisadia nipate ajira mimi nipo Mbeya hakika sitomwangusha
Mtoto mzuri pakia CV yako PSRS kwenye ile AJIRA PORTAL na wapelekee CV zako wale wakala wa ajira TAET nadhani walikuwa pale mkabala na DIT kisha endelea kufight ajira za MARKETS zipo nyingi...njoo PM nikupe namba za mshua fulani pia ujaribu.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
926
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
926 1,000

Wakala wa ajira wanaitwa Taesa ndio wako pale mkabala na DIT
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
926
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
926 1,000
Hivi hawa jamaa wana kazi gani zaidi
Kazi ambayo ninaifaham Mimi ni kwamba huwa wanapelekewa nafasi za kazi na taasisi na kampuni mbalimbali halafu wanafanya comparison na CV za watu walizonazo halaf wenye CV zinazoendana na matakwa ya taasisi husika wataitwa kwa ajili ya kufanya usahili.
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,200
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,200 2,000
Kazi ambayo ninaifaham Mimi ni kwamba huwa wanapelekewa nafasi za kazi na taasisi na kampuni mbalimbali halafu wanafanya comparison na CV za watu walizonazo halaf wenye CV zinazoendana na matakwa ya taasisi husika wataitwa kwa ajili ya kufanya usahili.
Ko wanapokea CV jamaa.
 
Forum statistics

Threads 1,303,749
Members 501,127
Posts 31,491,394
Top