Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

Zyusual

Senior Member
Nov 9, 2018
137
121
Habari za mwaka mpya wakuu,

Bado ninatafuta ajira ndiyo maana nimerudi tena; yawezekana jana sikupata lakini leo nikapata.

Mimi ni msichana niliyehitimu chuo kikuu na degree ya Mass Communications specialized in Public Relations and Marketing. Nimehitimu miaka kadhaa iliyopita.

Nimefanya kazi za kujitolea katika NGO's mbili, hivyo nina uzoefu katika utekelezaji wa miradi tofauti na pia ni ninafanya vizuri katika katika sekta ya Customer Care pamoja na sekta ya Public Relations.

Ninaomba yeyote atakayeona ana uwezo wa kunisadia nipate ajira mimi nipo Mbeya hakika sitomwangusha.
 
Sio ninakukatisha tamaa lakini ajira kipindi hiki unatakiwa upigane kweli kweli, Do everything posible.
Sambaza CV yako kwenye hizo recruiting agents. Gonga milango ya ofisi za watu drop your CV.

Pia pamoja na ajira jaribu kufikiria kama una kitu kingine unaweza kufanya tofauti na ajira,
Nashukuru kwa ushauri mkuu. Kama kuzunguka office kwa office na bahasha nimefanya sana tu siyo Mbeya peke yake mpaka Dar ni miaka siyo chini ya mitano nina saka ajira lakini sijakata tamaa naendelea kutafuta. Kujiajiri kunahitaji capital.
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu,kama kuzunguka office kwa office na bahasha nimefanya sana tu siyo Mbeya peke yake mpaka Dar ni miaka siyo chini ya mitano nina saka ajira lkn sijakata tamaa naendelea kutafuta
Kujiajiri kunahitaji capital

Pole sana Jombaa, Piga sala mtangulize Mungu mbele Pigana mambo yataenda tu
 
Jaribu kufika ofisi za Tanesco zilizo karibu na ww onana na HR, utapata ajira za tempo kwa miradi ya REA kwenye kutangazia wananchi, customer relations kwa Arusha nimeona wamechukuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu bado sijafanikiwa kupata ajira,bado sijachoka kutafuta ingawa wengine wanakufuata pm kwa lengo lakukusaidia na cv unatuma kisha wanapotea jamani mimi namaanisha kweli na bandiko langu
 
ipo ya AJIRA mshahara 100,000 YES i mean it...ni LAKI MOJA mkuuu vipi kabla sijakukaribisha kazini Uko tayarii???
 
Zyusual,

Nina IMANI kwa mtaji wa mikono yako miwili...miguuu miwili..macho mawiliii AKili TIMAMU ya ku create THREAD watu wakaiona una uwezo wakufanya kitu kupitia Hivyo vitu nilivyo kutajia...AMUA SASA ajira unayo TAYARI.
 
Nina IMANI kwa mtaji wa mikono yako miwili...miguuu miwili..macho mawiliii AKili TIMAMU ya ku create THREAD watu wakaiona una uwezo wakufanya kitu kupitia Hivyo vitu nilivyo kutajia...AMUA SASA ajira unayo TAYARI.
Unamaanisha nini mkuu
 
Back
Top Bottom