Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

PHR

Member
Sep 22, 2020
27
75
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.
Wakuu bado naomba msaada wa kazi yoyote kutoka kwenu, hali yangu siyo nzuriii
 
PHR

Member
Sep 22, 2020
27
75
Naomba msaada ndugu zangu hata wa kibarua chochote kwa siku nipate fedha ya kula
 
mafiakisiwani

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
770
500
Mkuu samahani kwa haya maswali.
Je kwa kupitia hiyo course ya computer science ndio kuna mgawanyiko wa software na programing?
Na katika mgawanyiko huo ni wapi naweza kujifunza kuhack website mbalimbali?
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
490
500
Mkuu samahani kwa haya maswali.
Je kwa kupitia hiyo course ya computer science ndio kuna mgawanyiko wa software na programing?
Na katika mgawanyiko huo ni wapi naweza kujifunza kuhack website mbalimbali?
hapo lazima usome web development especially kwenye security issue. pia usome programming kama php , phyton zinazotumika kwenye web development ,pia uijue http protocol vizuri na inavyofanya kazi
 
mafiakisiwani

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
770
500
hapo lazima usome web development especially kwenye security issue. pia usome programming kama php , phyton zinazotumika kwenye web development ,pia uijue http protocol vizuri na inavyofanya kazi
Shukran kwa ufafanuzi
 
Hell is real

JF-Expert Member
Aug 14, 2021
204
500
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.
Ungekuwa karibu na kituo changu hapa mkoani ningekuchukua!!! Tarehe 13 ninapokea wanafunzi wa pre form one!! Ninatafuta mwalimu
 
Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,354
2,000
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.
Kama swala ni computer au Laptop kwa nini utafute kazi? Si waone watu wa Bank wakupe mkopo wa kununua Equipment ya kazi ili uendelee mbele? Sijajua nini unahitaji. Focus kwenye kitu unaxho kitaka hasa ili uganikiwe. Naona unaruka ruka tu bila kueleza hasa nini ni kitu cha msingi unaxho kitaka.
 
mteule senior

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
230
250
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
Idea nzuri sana....narekebisha tu hapo kwenye kumtanguliza Mungu na sio mungu kwa herufi ndogo
 
Mr Chemist

JF-Expert Member
May 21, 2021
367
1,000
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
ushauri makini sanaa📌📌📌
 
Sir Midabwada

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
1,202

Naona mzee unatafut umaaruf kupitia mm au sio!? Muelekez halmashaur zipi hizo ili akikosa kuon dall UMPELEKE
 
Aug 4, 2021
56
125
Kama swala ni computer au Laptop kwa nini utafute kazi? Si waone watu wa Bank wakupe mkopo wa kununua Equipment ya kazi ili uendelee mbele? Sijajua nini unahitaji. Focus kwenye kitu unaxho kitaka hasa ili uganikiwe. Naona unaruka ruka tu bila kueleza hasa nini ni kitu cha msingi unaxho kitaka.
Comment yako inasikitisha sana!! Unaishi dunia gani ww?..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom