Natafuta kazi Nina experience ya mwaka mmoja in sales

Next Elon Musk

Senior Member
Dec 2, 2019
111
80
Habari natafuta kazi Nina experience ya mwaka mmoja kwenye mambo ya sales nimefanya kazi airtel na kuhudumu supermarket
I have computer skills basically
Naweza kufanya kazi na watu wa aina tofauti,team working
Fluently in English and Swahili
O level certificate
Email stalyjay@gmail.com
WhatsApp 0654865266
Mawasiliano 0786067946

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na majukumu.

Mimi no kijana wa miaka 19 naishi ubungo mawasiliano au njiapanda ya Chuo Ninatafuta kazi katika nyanja ya cashier sales na marketing pia naweza kufanya kazi kama petrol attendant katika sheli.

Nina uzoefu wa kutumia Microsoft Office na kukarimu wageni ninaweza kuongea na kuandika Kiingereza kwa ufasaha na nimefanya kazi kati sales na marketing kwenye duka kubwa la hardware hapa mjini pia nimefanya uwakala wa laini katika kampuni ya Airtel na Vodacom.

Kwa mwenye nafasi yoyote kama kwenye restaurants, petrol station, upermarket n.k ani DM au kwa mawasiliano 0786067946 au WhatsApp 0654865266 .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na majukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 19 naishi Ubungo Mawasiliano au njiapanda ya Chuo. Ninatafuta kazi katika nyanja ya cashier sales na marketing pia naweza kufanya kazi kama pump attendant katika sheli.

Nina uzoefu wa kutumia Microsoft Office na kukarimu wageni ninaweza kuongea na kuandika Kiingereza kwa ufasaha na nimefanya kazi kati sales na marketing kwenye duka kubwa la hardware hapa mjini pia nimefanya uwakala wa laini katika kampuni ya Airtel na Vodacom.

Kwa mwenye nafasi yoyote kama kwenye restaurants, petrol station, supermarket n.k ani DM au kwa mawasiliano 0786067946 au WhatsApp 0654865266

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom