Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 241
- 438
Wakuu kama heading inavyojieleza, mm ni kijana wa Kitanzania nina shahada ya Accounting and Finance With Information Technology niliyoipata mwaka 2018.
Uzoefu:
Nimewahi kufanya kazi katika kampuni ya SBC Tanzania kama Sales Representative kuanzia Dec 2018 mpaka Aug 2019. Pia nimewahi kufanya field katika taasisi ya umma ya ukaguzi wa hesabu za serikali NAOT kama Audit Support Officer kuanzia March 2018 mpaka June 2018.
Ninaweza kutumia vizuri Microsoft office na pia niko familiar with some accounting packages like Tally and QuickBooks.
Mawasiliano: 0621 917 407
Asanteni