habar zenu wanaJf ni kijana nimemaliza form six 2015 Nilifaulu ila sijabahatika kusoma chuo kwa matatzo ya kiuchumi. Nimekuwa nikiishi kwa deiwaka kadhaa na misukosuko mingi ninatafta kazi yote halali hapa dar napatkana dar. Mwenye kunisaidia au kunounganisha anifate PM.
Asanteni
Asanteni