Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita, nina uwezo wa kutumia computer vyema

Mama Luq

Member
Feb 8, 2021
20
13
Habari zenu ?

Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research kama research assistance na mashirika kama MDH na NACP.

Nipo hapa wakuu kuomba msaada wa kazi yoyote halali sichagui nilwamue ata familia yangu kupata angalau chakula naishi kimara kama kuna connection yoyote au kuna kazi yoyote nitashukuru natanguliza shukrani
 
Habari zenu ndugu zangu katika ubinadam. Mimi ni kijana wa miaka 26, elimu yangu ni kidato cha sita naishi Dar es Salaam(Kimara). Naomba mwenye kunisaidia connection ya kibarua au ajira yoyote nitashukuru sana maana hali nayopitia sio nzuri ndugu zangu.

Namba zangu ni 0719478826
 
Back
Top Bottom