Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne

branish

New Member
Nov 16, 2021
2
2
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne

Muda sasa nipo nyumbani tu natafuta kazi yoyote hilio halili ili niweze kujikizi kimaisha

Ata ikiwa kiwandani au sehemu nyingine naomba alie na connection za kazi anisaidie au anaejua sehemu kama kuna kazi
 
Hilio
Halili
Kujikizi
Form four za kipindi hiki ndivyo wanavyofundisha hivyo?
By the way nakutakia kila lililo la kheri mkuu
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne

Muda sasa nipo nyumbani tu natafuta kazi yoyote hilio halili ili niweze kujikizi kimaisha

Ata ikiwa kiwandani au sehemu nyingine naomba alie na connection za kazi anisaidie au anaejua sehemu kama kuna kazi
Kukaanga chipsi vipi unaweza?kuna jamaa yangu anatafuta kijana, ofisi ipo tabata
 
Kijana watu tuna miaka kumi mtaani kazi zimetukataa kifo kimetukimbia sasahivi tupotupo tu karibu chama la majobless tafuta sehemu kuna free wifi tembelea thread za vichekesho acha maisha yaendelee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom