Natafuta kazi, nina uzoefu katika salem, customer care, operation manager na supervisor

m-yala

Member
May 13, 2014
57
54
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
 
Habari zenu wakuu Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina udhoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe MWENYE bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weredi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
Unapatikana wapi?

Jr
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email

watumie hawa jamaa cv zako powercooltechservices@gmail.com
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
Umeshapata?
 
Habari zenu wakuu, mm ni Binti elimu yang n ya certificate Nina uzoefu sn na kaz ya cashier nmefany sehm mbalimbali.

Ni mchapakaz na mwaminifu sn.. Kwny supermarket, restaurant, ofisi yyt nk Tyr. Niko Dar Tabata.

Mawasiliano yng 0764423726/0737142315. Shukrani.!
 
Habari zenu waungwana... Natafuta kazi ya kulipwa kwa siku. Mimi ni Binti elimu yang ni certificate.. Kazi yoyote niko tayari. Niko Dar es salaam mawasiliano yangu 0764423726
 
Kwa bnt n rahs tafuta hotel iliyo karibu au mgahawa au kama una malengo hata bar huwez kosa kaz huku mara nying huwaa naona wana pay 3k per day....hongera kwa kutochagua kaz

Vile vile mashule meng kaz za usaf upishi au kusaidia upishi kwa mabnt huwa na chances mingi...kila la heri ndg.
 
Habari ya jion wakuu,

Mimi ni binti mwenye elimu ya certificate nlisomea clearing and forwarding chuo. Nmekuja kwenu kuomba, kama una company au rafiki anaitaji mtu wa declaration nina weza kuadeclare documents za magari local + transit.

Mimi ni mwaminifu na mchapa kazi.

Mawasiliano yangu 0764423726 Niko Dar es Salaam.

Asanteni
 
Habari zenu wakuu... Mimi ni binti Nina elimu ya certificate in clearing and forwarding Niko Dar.. naomb ajira au internship kwa mtu mwenye company ya clearing au kama umeckia mtu anataka declaration. Nawez kuassess documents za magari local na transit pia.. mawasiliano yangu 0764423726 asante
 
Omba za TPA

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Habari... Natafuta ajira, nmesomea clearing and forwarding, nafasi ya declaration clerk naweza kuassess documents za local na transit pia... Niko Dar mawasiliano yangu 0764423726. Àsante sana.
 
Natafuta ajira, Niko Dar naweza kuassess documents za gari local bond na transit, container, yaan item zote. Kwa mawasiliano 0764423726
 
Back
Top Bottom