Natafuta kazi Nina Diploma ya Civil Engineering.

gonamwitu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
703
707
Habari wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nimemaliza chuo so natafuta kazi as a Civil Technician or other non related jobs nikiwa na maana hata kazi nyinginezo zisizohusiana na professional yangu.mwenye kufahamu sehemu ambapo naweza kupata kazi kwa maana ya connection au kuna tangazo la kazi umeliona sehemu linata mtu was kada yangu unaweza kulipost.Naomba kuwasilisha tangazo hili kwenu kwa heshima na taadhima,asanteni sana.

"It's not over until it's over"
"Hasta la mania el victory=Fight until victory comes"
 
Mhandisi unatafuta kazi? Wewe unawigo mkubwa wa kujiajiri. Ukishajiajiri tu kazi zitakutafuta siyo wewe kuzitafuta.
 
Mhandisi unatafuta kazi? Wewe unawigo mkubwa wa kujiajiri. Ukishajiajiri tu kazi zitakutafuta siyo wewe kuzitafuta.

Bongo bana sasa kujiajiri kwa fani yake sio rahisi kama unavyodhani...Inabidi atafute sehemu ya kujishikisha kisha apate huo mtaji wa kujiajiri
 
Jiongeze broh ajira huwezi kupata kwa sababu hauna connections, unawezaje kupata connections? Jiongeze sasa hiv kuna mirad kibao ya ujenzi kama mwendokasi-mbagala, kule mto rufiji mradi wa umeme nenda kule weka kambi ajira zipo ila haziji nyumbani piga kambi utaanza ata ya nguvu ila baadae utapata ya elimu yako we njoo mbagala uone watu walivyokaa getin wakisubili kuitwa na mchina na kupiga kaz
 
Mkuu kwa Mchina kuna mradi gani tuje tutimbe huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom