Nina miaka 26 msichana nina diploma ya banking and finance, uzoefu wa adminstration and assistant accountanta, secretarial mawasiliano ni
0763026276 au cutyney@gmail.com
0763026276 au cutyney@gmail.com
Kuna sehemu niliona wanashauri hizi email tunazotumia tujitahidi tusiweke mbwembwe zisizotakiwa.nina miaka 26 msichana nina diploma ya banking and finance, uzoefu wa adminstration and assistant accountanta, secretarial mawasiliano ni 0763026276 au cutyney@gmail.com
Kuna sehemu niliona wanashauri hizi email tunazotumia tujitahidi tusiweke mbwembwe zisizotakiwa.
I wanted to comment the same...hiyo e mail adress tu inaonyesha mwombaji tabia yake ya nje...pls kwa ushauri creat email yenye jina lako hiyo ya cutyney itumie kwenye mambo yako yasiyo muhimu...just an adviseKuna sehemu niliona wanashauri hizi email tunazotumia tujitahidi tusiweke mbwembwe zisizotakiwa.