Natafuta kazi, Nina degree ya Uhasibu

Pirate of Carribean

Senior Member
Sep 4, 2019
114
186
Habari wakuu, Natafuta kazii hata kama ni ya kujitolea ambayo itaniwezesha kukidhi mahitaji yangu, kwa sasa naishi Dar, nipo tayari kufanya kazi mahali popote, Nina uzoefu kutumia computer, Microsoft word and other programs

Elimu; Nina Bachelor Degree of Accounting pia Nina Diploma ya Business Administration..
 
Upo vizuri kwenye uhasibu au ni wale training wanapata kazini? Kuwa mkweli mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom