Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

opondo

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
527
1,312
Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu.

Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12...

GPA ya Chuo kikuu bado hatujapata overall maana nilisoma option course nyingi kwa both physics na chemistry lakini inafika 3. Something huko.

Kitaaluma na kimaadili niko vizuri pia kimalezi ya watoto nina Cheti cha child care protection.

Niko tayari kufanya kazi bure kwa mda ili kupima content yangu maana najiamini sana katika hiyo idara endapo nisipokidhi mahitaji unaweza niondoa pia.
Kwa maelezo zaidi unaweza ni DM.

Napatikana kwenye hizi namba.

0757590836 na 0687690268.

ASANTENI
 
Nenda ilemela,ukifika kituo cha radio shuka kisha tembea kidogo utaona hotel ilioandikwa port park (PP)hapo utaona shule inaitwa bright academy inauhitaji mkubwa SNA wa walimu
 
Asante mkuu nitafanya hivyo
 
Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu.

Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12...

GPA ya Chuo kikuu bado hatujapata overall maana nilisoma option course nyingi kwa both physics na chemistry lakini inafika 3. Something huko.

Kitaaluma na kimaadili niko vizuri pia kimalezi ya watoto nina Cheti cha child care protection.

Niko tayari kufanya kazi bure kwa mda ili kupima content yangu maana najiamini sana katika hiyo idara endapo nisipokidhi mahitaji unaweza niondoa pia.
Kwa maelezo zaidi unaweza ni DM.

Napatikana kwenye hizi namba.

0757590836 na 0687690268.

ASANTENI
Wewe ni Opondo wa muki?
 
Back
Top Bottom