Natafuta kazi, nina Degree ya Banking & Finance

UTAMBI

Member
Jul 28, 2015
58
29
Nimemaliza chuo mwaka huu,bachelor in banking and finance,nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,naomba msaada wenu wadau.Nipo dar es salaam kwa sasa lakini naweza kufanyia mkoa wowote,Asanteni!.Contact; lutegebitata@gmail.com
Msaada tafadhali wandugu!!.
 
Mkuu tupo pamoja mwenyewe nina degree ya Economics nimemaliza mwaka huu. Nakushauri tufanye hivi, tutengeneze CV za kutosha kisha tusambaze kwenye banks zote zilizopo dar na kwingineko. Inshu ya kukaa home halafu unajitangaza au kupigia simu watu wakutafutie tutasota milele kuwa jobless labda utokee muujiza. Ikishindikana hiyo hatua niliyokuambia basi tuwe na plan B kwamba tukafanye kazi hata za kujitolea( volunteer) kwenye makampuni na taasisi za kifedha ili tuboreshe Cv zetu kwa lengo la baadae kuweza kupata kazi kirahisi.
 
Kajitolee nmb kama wakala wa chapchap ac ukijituma watakuajiri

Naomba unisaidie kuhusu utaratibu wa kupata maana niliwah kwenda makao makuu wakasema hawapokei maombi mpk wawe wametangaza kazi
 
Ndugu, ngoja nitaweka hapa jamvini, nikimaliza shughuri zangu hapa, ila dead line 4, september.
 
Duh poleni..uvumilivu pia nimuhimu,ajira ni ngumu sana these days..watu wanakaa nyumbani hadi 4 years ndio wanapata
 
Nimemaliza chuo mwaka huu,bachelor in banking and finance,nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,naomba msaada wenu wadau.Nipo dar es salaam kwa sasa lakini naweza kufanyia mkoa wowote,Asanteni!.Contact; lutegebitata@gmail.com

Vuta subira
Weka alama ya vema kwa magufuli
Utasahau yote hayo ndg yangu trust me
Kwa kuanzia nikupe u foreman kusimamia construction za barabara ya itigi tabora utaweza...!!!!???
 
Vuta subira
Weka alama ya vema kwa magufuli
Utasahau yote hayo ndg yangu trust me
Kwa kuanzia nikupe u foreman kusimamia construction za barabara ya itigi tabora utaweza...!!!!???

Nipo tayar mkuu,nipe maelekezo
 
hello TEMBO WANGU aisee bado nasubiria hilo tangazo.au unaweza nifowardia kweny e mail yangu vennysarimbo@yahoo.com
 
Last edited by a moderator:
NMB head office huwa hawatangazi hizo nafasi unachotakiwa ni kuomba kwa kuainisha department unayoweza fanyia kazi,ila nawashauri Muombe department ya operation.Baada ya hapo kama nafasi ikitokea basi mtaitwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom